State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Msumbiji Mge Nyusi Ikulu mjini Maputo Msumbiji.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia ) akiwa na Ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji l 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia ) akiwa na Ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia ) akiwa na Ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi na wageni mbalimbali katika hafla ya chakula maalumu, kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi, katika ukumbi wa Ikulu Maputo, baada ya kumalizika kwa hafla ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji, iliyofanyika katika viwanja vya Matola Msumbiji leo 7-9-2024
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji Mama Isaura Nyusi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • RAIS wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akizungumza na Viongozi mbalimbali waalikwa wakati wa chakula maalumu ,alichowaandalia baada ya kumalizika kwa hafla ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Ushindi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji,kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Rais wa Msumbiji Mama Isaura Nyusi wakiburudika wakati msanii akitowa burudani wakati wa hafla ya chakula maalumu kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi,katika ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji leo 7-9-2024.