State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewazawadia zawadi za Komputa Wanafunzi Bora wa Kidatu cha sita na cha nne waliopara Division One Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Komputa Mwanafunzi wa Bora wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Sekondari ya Highview Zanzibar Abubakar Salim Twaha, kwa kupata Daraja la Kwanza (Division One) na kufaulu masomo matatu na kupata alama A katika Mtihani wa Taifa mwaka 2024, wakati wa hafla ya chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Tanzania Prof. Adof Mkenda na (kulia kwa Mwanafuzi) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Bora wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Sekondari ya Highview Zanzibar,baada ya kuwakabidhi zawadi zao za Komputa wakati wa hafla ya Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024, kwa kufaulu vizuri Mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Sita 2024 na kupata alamu ya A masomo matatu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Komputa Mwanafunzi Bora wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Sekondari ya Highview Zanzibar Suhaibu Abdulsatar, kwa kupata Daraja la Kwanza (Division One) na kufaulu masomo matatu na kupata alama A katika Mtihani wa Taifa mwaka 2024, wakati wa hafla ya chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Bora wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Sekondari ya Highview Zanzibar,baada ya kuwakabidhi zawadi zao za Komputa wakati wa hafla ya Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024, kwa kufaulu vizuri Mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Sita 2024 na kupata alamu ya A masomo matatu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Nne na Sita, wakati wa hafla ya kuwazawadia zawadi za Komputa na kuwaandalia chakula maalum katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
  • WANAFUNZI wa Skuli za Sekondari wa Kidatu cha Nne na Kidatu cha Sita Zanzibar waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza (Division One ) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wanafunzi hao na kuwapongeza kwa kufaulu vizuri, wakati wa hafla ya chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
  • WAWAKILISHI wa Mashirika ya Kimataifa waliopo Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuwazawadia zawadi Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza (Division One) na kuzawadia Komputa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika hafla ya chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Nne na Sita, wakati wa hafla ya kuwazawadia zawadi za Komputa na kuwaandalia chakula maalum katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
  • WANAFUNZI wa Skuli za Sekondari wa Kidatu cha Nne na Kidatu cha Sita Zanzibar waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza (Division One ) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wanafunzi hao na kuwapongeza kwa kufaulu vizuri, wakati wa hafla ya chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Nne na Sita, wakati wa hafla ya kuwazawadia zawadi za Komputa na kuwaandalia chakula maalum katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024