Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na kuwaaga Madaktari Bingwa wa China Ikulu Zanzibar
26 Aug 2024
10
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Daktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China Dkt.Ding Yan, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kaimu Balozi Mdogo wa China Zanzibar Mhe.Chang Ming, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024.
MADAKTARI Bingwa Benchi la 33 kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa kuwaaga baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar katika Hospitali ya Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China ,wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwaaga Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, waliomaliza muda wao wa Kazi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja na Abdalla Mzee Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Daktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China Dkt.Yuzheng Huang, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024
MADAKTARI Bingwa Benchi la 33 kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa kuwaaga baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar katika Hospitali ya Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2024