State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN ALI MWINYI AMEAZA ZIARA MKOA KASKAZINI PEMBA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mikutano wa Micheweni.
  • BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara katika Mkoa huo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Micheweni
  • BAADHI Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya utekelezaji ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba