State House Blog

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Mhe.rof. Palamagamba Kabudi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania Mhe Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais)na(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katika Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.