State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la harakati za kutokomeza vita Dhidi ya Uzalilishaji.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa upokeaji katika Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.
  • BAADHI ya Wageni waalikwa kutoka Taasisi mbalimbali za Kijamii wakifuatiulia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar,Tulipotoka,Tulipo na Tunakokwenda, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya na Wanasheria Wanawake Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.