State House Blog

Rais wa Zanzibare Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapishwa Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ Ikulu Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Commodore Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Luteni Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Mkuu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kanali Makame Abdallah Daima kuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKU) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kamishna Khamis Bakari Khamis kuwa Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kamishna Rashid Mzee Abdallah kuwa Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar ,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bwa.Mussa Kombo Bakari kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha ACP Ahmed Khamis Makarani, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya ya Kuzuiya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA)hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar Khamis Bakari Khamis, kabla ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kuwaapisha Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • BAADHI ya Wanafamiulia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Commodore Azana Hassan Msingiri kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa KMKM Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar Rashid Mzee Abdallah,kabla ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Cheo cha Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) Luteni Kanali Makame Abdalla Daima kabla ya kumuapisha kuwaa Mkuu wa (JKU)hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakuu wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ baada ya kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu leo