State House Blog

Swala ya Ijumaa Masjid Shifaa Mwembetanga Zanzibar

  • .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Waumini wakati wa kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, alipowasili leo kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Sheikh Abubakar wakati wa kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia iliyoomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiitikia dua iliyoomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kulia) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kulia) alipojumuika na Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa iliyoswalishwa na Sheikh Ahmed Mohamed leo katika Masjid Shifaa (msikiti maiti),Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotoa nasaha zake kwa Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Viongozi wa waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.