State House Blog

Ufunguzi wa Mafunzo ya Wajasiria Mali katika Kijiji cha Kizimkazi Kusini Unguja.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja kufungua mafunzo ya wajasiriamali pamoja na Tamasha la Kizimkazi chini ya usimamizi wa Benki ya CRDB Tanzania.
  • Wajasiriamali wa Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja wakiwa katika mafunzo yanayohusu kazi zao yaliyofunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania.
  • Wajasiriamali wa Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja wakiwa katika mafunzo yanayohusu kazi zao yaliyofunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kufungua wa mafunzo ya wajasiriamali pamoja na Tamasha la Kizimkazi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania,hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Skuli ya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja.