State House Blog

UJUMBE WA MADAKTARI WA KICHINA WALIOMALIZA MUDA WA KAZI HAPA NCHINI

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr. Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari hao wa Kichina 32 waliomaliza muda wao wakutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,hafla ya kuagana ilifanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina 32 waliuomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe hguo wa Madaktari 32 waliomaliza muda wa kutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun (kulia aliyesimama) wakati akitoa shukurani zake leo kwa Ushirikiano walioupata katika huduma walizozitoa katika Hospitali za Zanzibar,wakati hafla ya kuagana wa lipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Viongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina wamsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati walipofika kumuaga Rais Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina (hawapo pichani) 32 waliomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar