State House Blog

Utiaji saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimaqtaifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

  • Mabalozi wadogo wanaoziwakilisha Nchi zao hapa Zanzibar wakiwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa Mashirikiano ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume baina ya Wizara ya ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Nd,Amour Hamil Bakari na Mkurugenzi Bishara wa Kampuni ya EGIS Bw.Cristian Laugier hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali mwinyi akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume baina ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Nd,Amour Hamil Bakari na Mkurugenzi Bishara wa Kampuni ya EGIS Bw.Cristian Laugier hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali mwinyi akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume baina ya Wizara ya ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na DNATA kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Nd,Amour Hamil Bakari na Mkurugenzi Bishara wa Kampuni ya EGIS Bw.Cristian Laugier Ikulu Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

  • Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

  • Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.