State House Blog

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AJITAMBULISHA KWA RAIS DR.MWINYI.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki uliongozwa na Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na Ujumbe wake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar