State House Blog

Ziara ya kumarisha Chama Mkoa wa Kusini Unguja

  • Mweyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Mohamed Ali Mohamed alipokuwa akisalimia Vijana wa UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja alipojumuika na Viongozi mbali mbali katika ziara ya Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,kukagua mali za Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akipokea taarifa ya Chama kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg,Asha Mzee kuhusu eneo la Uwekezaji la Chia-bonde Makunduchi Kajengwa akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.
  • Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na Vijana wa Chama cha UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja leo alipotembelea Ofisi ya Jumba la Mawe Dunga Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Vijana wa Chama cha UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja alipotembelea Ofisi ya Jumba la Mawe Dunga Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama CCM.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akiuliza suala kwa Katibu wa Wazazi Wilaya ya Kusini Ndg.Fadhil Mshamba Juma (kushoto) wakati alipotembelea eneo la Umoja wa Wazazi CCM,Mtule jimbo la Paje ambalo litakuwa la uwekezaji wa miradi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanmzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika eneo la Uwekezaji la Chia-Bonde Makunduchi Kajengwa akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohamed Said Mohamed Dimwa (kushoto) Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mwenyekiti wa CCM Wilaya Kusini Ndg,Mgana Zidi Khamis
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akimsikiliza Katibu wa Wazazi Wilaya ya Kusini Ndg.Fadhil Mshamba Juma (wa pili kulia) alipofika kuangalia eneo la Umoja wa Wazazi CCM,Mtule jimbo la Paje ambalo litakuwa la uwekezaji wa miradi mbali mbali wakati alipotembelea mali za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.