Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Mpapa wilaya ya kati, Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kumalizika swala ya Ijumaa ambapo Mheshimiwa Rais aliswali katika Kijiji hicho.
Media
News and Events
Mama Mariam Mwinyi ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Watendaji wa Shirika la Action Aid Tanzania Waliofika Afisini kwake Migombani Kuonana Naye.
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar aliyowaandaliwa Wananchi wa Mkoa huo,iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 12-3-2025
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mwananchi Hafsa Omar Hamad,kabla ya kukabidhi sadaka ya futari, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 12-3-2025, amakabidhi sakada hiyo ya futari kwa Wananchi wa makundi maalumu
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa (kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Abeid Amani Karume Mwera Wilaya ya Kati Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-3-2025, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
President
H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council
Talk to the President
News and Events
Rais Mwinyi amesema tufikishe usomaji wa Qur-ani kwa njia ya Tajwiid katika Wilaya na Mikoa Nchini.
15 Mar 2025
by Ikulu Staff
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Mpapa wilaya ya kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
14 Mar 2025
by Ikulu Staff
Dkt, Mwinyi amewahakikishia Wananchi wa Mpapa kuwa Serikali itazifanyia Kazi Changamoto za Kijamii ziliomo katika kijiji hicho.
14 Mar 2025
by Ikulu Staff
Mama Mariam Mwinyi ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Watendaji wa Shirika la Action Aid Tanzania Waliofika Afisi
14 Mar 2025
by Ikulu Staff
More News and Events
Videos
Facebook
Publications
Hotuba ya maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Tarehe: 11 Januari, 2025
11 Jan 2025
Hotuba ya Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi, Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mjini Magharibi.
19 Apr 2024
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa Duru ya kwanza ya Utoaji wa Vitalu kwa Kampuni kwa Maeneo ya Baharini
20 Mar 2024
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi
21 Feb 2024
English
Swahili