News and Events

Dk.Mwinyi ameupongeza uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Zanzibar na Oman

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Zanzibar na Oman na kueleza haja ya kuongeza ushirikiano zaidi katika sekta ya… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea ujenzi wa jengo jipya la Abira (Terminal III) Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ujenzi wa jengo jipya la Abira (Terminal III), katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume unapaswa kwenda sambamba… Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara Maalum za SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara Maalum za SMZ kufuatia kuwepo kwa wafanyakazi hewa na kusababisha upotevu wa fedha nyingi… Read More

SERIKALI imeahidi kuchukua hatua kali kwa mfanyabiashara yoyote atakaebainika kupandisha bei za bidhaa au huduma kwa utashi ama tamaa bila ya kuwepo sababu ya msingi

SERIKALI imeahidi kuchukua hatua kali kwa mfanyabiashara yoyote atakaebainika kupandisha bei za bidhaa au huduma kwa utashi ama tamaa bila ya kuwepo sababu ya msingi kwani tayari imeshatoa bei elekezi za bidhaa… Read More

Serikali imesema itafanya kila juhudi kuhakikisha inapata fedha zilioko mikononi mwa Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha inapata fedha zilioko mikononi mwa Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd ili hatimae… Read More