Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa imeundwa kwa lengo la kuendeleza na kudumisha amani, umoja na mshikamano.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa imeundwa kwa lengo la kuendeleza na kudumisha amani, umoja na mshikamano…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba wananchi wa Zanzibar wamuunge mkono katika kutekeleza azma yake ya kuiletea maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaomba wananchi wa Zanzibar wamuunge mkono katika kutekeleza azma yake ya kuiletea maendeleo Zanzibar sambamba…

Read More

Dk.Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar na viongozi wake ataendelea kuiunga mkono Zanzibar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar pamoja na viongozi wake kwamba ataendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuhakikisha…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho ya Saba ya Biashara Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho ya Saba ya Biashara Zanzibar na kuridhia ombi la wafanyabiashara la kuongezewa siku mbili zaidi.Akizungumza…

Read More

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi ameipongeza azma ya Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi ameipongeza azma ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulkia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ya kushirikiana…

Read More

Dk. Mwinyi amesema serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua ambapo tayari…

Read More