Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49) waliokuwa wakitumikia Vyuo vya Mafunzo vya Unguja na…

Read More

Alhaj Dk.Hussein Mwinyi amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili iwaletee maendeleo.Alhaj Dk. Hussein aliyasema…

Read More

Dk.Hussein Mwinyi ameupongeza uongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies kwa kuendelea kuhubiri amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Kanisa la ‘Tanzania Assemblies of God’ (TAG) kwa kuendelea kuhubiri amani na kuliombea…

Read More