Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na kueleza kwa upande wake kuwa atajitahidi…

Read More

Uteuzi

Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984,kinachosema kwamba "Muundo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utakuwa na Umoja wa Kitaifa na utendaji wa kazi…

Read More

Dk.Hussein Mwinyi alikuwa mgeni rasmi katika taarab maalum iliyoandaliwa na Wabunge Wawakilishi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi jana usiku alikuwa mgeni rasmi katika taarab maalum iliyoandaliwa na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja…

Read More

Wafanyabiashara wa sekta binafsi nchini wameiomba Serikali kuongeza ushirikiano katika sekta hizo.

WAFANYABIASHARA na wadau mbali mbali kutoka sekta binafsi nchini wameiomba Serikali kuongeza ushirikiano na sekta hizo kwa msingi kuwa zina mchango mkubwa katika uimarishaji wa uchumi wa Zanzibar.Hayo…

Read More

Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waislamu kuendelea kumuunga mkono na kumuombea dua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waislamu kuendelea kumuunga mkono na kumuombea dua ili Mwenyezi Mungu amsaidie kwa yale yote ambayo…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane kushirikiana na Benki ya Taifa ya Biashara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Read More