• Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (katikati) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kwa niamba Waziri wa Ofisi ya Rais ya Utumishi wa Umma na Utawala Maalim Haroun Ali Suleiman katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumushi wa Umma na Utawala Bora Nd, Yakout Hassan Yakout (katikati) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Nd,Shaban Seif
  • Watendaji wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia kwa makini taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 iliyosomwa katika kikao maalum cha Wizara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Wakuu wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  • Viongozi katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia kwa makini kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)