MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa SOS Wahida Abdalla na (kushoto kwake) Yusseuf Abdalla, baada ya kumalizika kwa hafla ya kutowa mkono wa Iddi

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa SOS (kulia kwake) Wahida Abdalla na (kushoto kwake) Yusseuf Abdalla, baada ya kumalizika kwa hafla ya kutowa mkono wa Eid El Fitry kwa Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar