Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akiwazawadia Wanafunzi Hajra Ahmed na Akmal Ahmed mara baada ya Wimbo maalum ulioimbwa na wanafunzi hao wa Maandalizi.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akiwazawadia Wanafunzi Hajra Ahmed na Akmal Ahmed mara baada ya Wimbo maalum ulioimbwa na wanafunzi wa Maandalizi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo.