Rais wa Alhaj Dk.Hussein Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Msahafu uliotolewa na Masheikh wa Mkoa wa Kaskazini Unguja akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Msahafu uliotolewa na Masheikh wa Mkoa wa Kaskazini Unguja akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa kwa Wananchi wa Mkoa huo.