RAIS wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuuswalia mwili wa marehemu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuuswalia mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, iliofanyika katika Masjid Noor Kombeni Wiliya ya Magharibi ‘B’ Unguja.