Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele wa tatu kushoto) akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA)alioufungua leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar(kushoto mbele) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.