Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi cheti cha Shukurani kwa Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahma.

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi cheti cha Shukurani kwa Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman ALMarzouqi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Red Cresscent Bw.Humud Al-Junaibi ambao wamefadhili mradi huo.