Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Kitabu cha Muongozo wa Kimataifa kwa Waguzi wa Ndani kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Kitabu cha Muongozo wa Kimataifa kwa Waguzi wa Ndani kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) Nd,Zelia Njeza baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea pongezi kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja.