Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi ya Kilabu ya Small Simba Sport Club Zanzibar na Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Ndg. Suleiman Mahmoud Jabir.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi ya Kilabu ya Small Simba Sport Club Zanzibar na Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Ndg. Suleiman Mahmoud Jabir,baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa timu hiyo ulipofika Ikulu kwa mazungumzo leo 8-6-2021.