Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk. Taufila Nyamadizabo, alipofika Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk. Taufila Nyamadizabo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar