RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waumini wa Dini ya Kiikristo Chato na Viongozi mbali mbali wa Serikali baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiikristo Chato na Viongozi mbali mbali wa Serikali baada ya kumalizika kwa Misa na Ibada Maalum ya kuwaombea Viongozi mbali mbali,iliofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Chato Mkoa wa Geita, iliongozwa na Baba Askofu Muhashamu Seveline Niwemgizi.