Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi huo.