Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Ibadhi Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Ibadhi Wilaya ya Wete Pemba.