RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Kijiji cha Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu. Mkoa wa Kusini Unguja.