RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake Chukwani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake