RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Hassan Omar (Mkel
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Hassan Omar (Mkele) mmoja wa Watanzania waliobeba udongo wa Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika, katika miaka ya Siti, ikisomwa na Maalim Dkt.Siasa, baada ya kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika katika Makaburi ya Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 28-8-2024