Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi akizungumza baada ya kufungua Jukwaa la Uwekezaji la Zanzibar na Indonesia ambalo limeandaliwa na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaj
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi akizungumza baada ya kufungua Jukwaa la Uwekezaji la Zanzibar - Indonesia ambalo limeandaliwa na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), katika hoteli ya Sofitel, Bali, Indonesia, tarehe 1 Septemba 2024.