Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Viongozi wa Serikali pamoja na wananchi waliofika katika Mapokezi ya Ndege 2 mpya za Serikali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Viongozi wa Serikali pamoja na wananchi waliofika katika Mapokezi ya Ndege 2 mpya za Serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Katika Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.