Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliopita katika viwavja vya Mnazi Mmoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliopita katika viwavja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo katika Sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.