Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  alipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani alipokutana nao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika mazungumzo hayo Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Watendaji walijumuika katika mazungumzon hayo.