Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana wasaidizi wake baada ya kumalizika kwa hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 Mpya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana wasaidizi wake baada ya kumalizika kwa hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.