Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.