Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza mgeni wake Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambilisha.