Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akizungumza na Wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya Visima vya Maji Safi na Salama (ZAWA) Bumbwisudi.

Rais wa Zanzibar na MBL Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akizungumza na Wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya Visima vya Maji Safi na Salama (ZAWA) Bumbwisudi Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi wakati alipofanya ziara ya ghafla.