Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipokewa na viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip, Airport, kuzindua Ripoti ya J
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipokewa na viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip, Airport, kuzindua Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar iliyoandaliwa na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Zanzibar.