RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.