RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,wakielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Z
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,kulia kwa Mheshimiwa Rais wakielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar, kwa ajili ya ufungua wa Mkutano wa Tatu wa Pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP).