RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui alipowasili katika Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui alipowasili katika Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kwa Wafanyabiashara wa Ufaransa kuja Zanzibar kuwekeza,uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 29-5-2024, na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe.Ali Jabir Mwadin