RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amemshika Kaa wakati akipata maelezo ufugaji wa Kaa kutoka kwa Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Khamis Bakar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amemshika Kaa wakati akipata maelezo ufugaji wa Kaa kutoka kwa Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Khamis Bakar Khamis, wakati akitembelea banda la maonesho la Chuo cha Mafunzo Zanzibar, katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane aliyoyafungua
03-08-2024 katika viwanja hivyo