RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na nakala ya Jarida la BlitzIndia baada ya kulizindua leo 17-9-2024, litakaloitangaza kimataifa Zanzibar na Tanza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na nakala ya Jarida la BlitzIndia baada ya kulizindua leo 17-9-2024, litakaloitangaza kimataifa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla katika sekta ya Utamaduni, Uchumi na Utalii na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Ujumbe huo Rajiv Desai na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti na Mhariri Mtendaji wa Jarida hilo Deepak Dwivedi, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabishara mbalimbali kutoka Nchini India yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar