RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hamid Seif Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibaar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hamid Seif Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.