RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia )
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (kulia ) akiwa na Ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Maputo Msumbiji l 7-9-2024